Standard Tuning Intro Ab5 , Ab5 , B5 , F#5 x3 E5 Verse 1 (Kidum ) C#5 Ab5 B5 F#5 Ikiwa umeamua kunitoroka C#5 Ab5 B5 F#5 Ikiwa unahisi kwamba hujiskii nami tena C#5 Ab5 B5 F#5 Na mbona imekuwa ngumu kunidokeza C#5 Ab5 B5 F#5 Naona ni bora nilie leo, badala ya kesho C#5 Ab5 B5 F#5 Kupendwa, usipendwe ni kama kujitia kitanzi C#5 Ab5 B5 F#5 Nitachimba na sururu kwa ardhi, nikitafuta penzi lako Pre-Chorus (Kidum ) F#5 E5 Ni heri nipigwe fimbo kwa mwili F#5 E5 Sababu nitajikuna, ama nitajikanda na maji moto C#5 B5 Maumivu ya penzi, mtu hajikuni F#5 Wala hajikandi na maji E5 Na hakuna upasuaji (yoii yoo) Chorus Ab5 B5 F#5 E5 Kama kuna kosa, nimewahi fanya (nieleze) Ab5 B5 F#5 E5 Kama kuna jinsi, tunaweza leta (mpaka niishi) Ab5 B5 F#5 E5 Na kama kuna kitendo, linaweza tendwa (nieleze) Ab5 B5 F#5 E5 Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda Ab5 B5 F#5 E5 Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda Ab5 B5 F#5 E5 Nitafanya (nasema), fanya, Nitatenda, tenda Ab5 B5 F#5 E5 Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda (woohh) Verse 2 (Lady Jaydee) C#5 Ab5 B5 F#5 Kweli hukumbuki ulioyafanya C#5 Ab5 B5 F#5 Ni kweli unakumbuka tulikotoka C#5 Ab5 B5 F#5 Sisemi habari zozote za kusikia C#5 Ab5 B5 F#5 Bali kwa ushahidi, niliouona C#5 Ab5 B5 F#5 Msamaha mara ngapi? umeshaomba na bado C#5 Ab5 B5 F#5 Je, ni makosa mangapi? niliyoyafumbia macho Pre-Chorus (Lady Jaydee) F#5 E5 Mpaka leo nahisi kufika kikomo F#5 E5 Maumivu yanazidi ndani ya moyo C#5 B5 Sitaki kwenda mbali kwani upo moyoni F#5 E5 Nikusamehe mimi mara ngapi wewe? Nieleze mpenzi mara ngapi? Chorus Ab5 B5 F#5 E5 Unataka, nikusamehe mara ngapi? (usihesabu) Ab5 B5 F#5 E5 Unapenda nikuvumilie mara ngapi? (hii ni ya mwisho) Ab5 B5 F#5 E5 Je, wewe nikulilie mara ngapi? (vumilia) Ab5 B5 F#5 E5 Sitoweza (utaweza wee), Nimechoka (usichoke) Ab5 B5 F#5 E5 Nimeshindwa (usishindwe), Naondoka (usiondoke mamii) Ab5 B5 F#5 E5 Sitoweza (sitoweza), Nimechoka (usichoke) Ab5 B5 F#5 E5 Nimeshindwa (usindindwe), Naondoka leo Bridge (Kidum ) C#5 B5 F#5 Ukihesabu ni mara ngapi umenisamehe C#5 B5 F#5 C#5 Ni kama kuhesabu ni mara ngapi mtoto kaharibu nepi B5 F#5 E5 Usichoke, usiondoke, usilie, niko hapa kukulinda Chorus Ab5 B5 F#5 E5 Kama kuna kosa, nimewahi fanya (nieleze) Ab5 B5 F#5 E5 Kama kuna jinsi, tunaweza leta (mpaka niishi) Ab5 B5 F#5 E5 Na kama kuna kitendo, linaweza tendwa (nieleze) Ab5 B5 F#5 E5 Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda Ab5 B5 F#5 E5 Nitado do do do, fanya, Nitafanya, tenda Ab5 B5 F#5 E5 Nitafanya , fanya, Nitatenda, tenda Ab5 B5 F#5 E5 Nitado i swear, fanya, Nitafanya, tenda (woohh) Ab5 B5 F#5 E5 Unataka, nikusamehe mara ngapi? (usihesabu) Ab5 B5 F#5 E5 Unapenda nikuvumilie mara ngapi? (mara ya mwisho) Ab5 B5 F#5 E5 Je, wewe nikulilie mara ngapi? (usilie) Ab5 B5 F#5 E5 Sitoweza (unaweza), Nimechoka (usichoke) Ab5 B5 F#5 E5 Nimeshindwa (usishindwe), Naondoka (uhh uhh) Ab5 B5 F#5 E5 Sitoweza (weza), Nimechoka Ab5 B5 F#5 E5 Nimeshindwa, Naondoka leo Outro ( Ab5 , B5 , F#5 , E5 ) Usishindwe baby Nitado do do do do