Verse 1 Em D C G Nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu Em D C G Sasa mie nauliza nianze wapi eeeh Em D C G Maumivu machozi mengi yameniumiza aheeheee Em D C G Jehovah nahisi nalia nihurumie nipeee Chorus Em D C G Uwezoo Uwezooo Em D C G Wa kusimama imara juu ya neno lako eeh Em D C G Uwezoo Uwezooo Em D C G Wa kusimama imara juu ya neno lako eeh